Nembo ya Mihayo Beverages Mihayo Beverages
Mihayo Beverages — Iringa, Tanzania

Kamwene Vayawe...

Urithi wa Ladha.

Ngao Dry Vodka — vodka safi, laini na yenye ubora wa kimataifa, iliyotengenezwa kwa fahari nchini Tanzania.

0%

Kiwango cha Alkoholi

0ml

Ujazo wa Chupa

0%

Fahari ya Tanzania

Chupa ya Ngao Dry Vodka
Mpya

Ngao Dry Vodka

Kwa kutumia teknolojia ya kisasa na viwango madhubuti vya uzalishaji, tunazalisha vodka safi, laini na yenye ubora unaoaminika. Kila chupa ni heshima kwa urithi wetu.

  • Maji
  • Ethanol
  • Ladha
Angalia Bidhaa
Hadithi Yetu

Urithi Unaolinda Heshima

Kwa karne nyingi, ngao imekuwa alama ya ujasiri, heshima na uthabiti katika tamaduni za Afrika. Haikuwa tu silaha ya kujilinda, bali ilikuwa ishara ya wajibu wa kuwalinda watu, familia na mila zao. Iliwakilisha moyo wa mashujaa waliokuwa tayari kusimama imara kwa ajili ya jamii zao.

Kutokana na historia hiyo, ndipo jina Ngao Vodka lilipozaliwa. Tulichagua jina hili kwa makusudi, si kwa sababu ya silaha yenyewe, bali kwa sababu ya maadili ambayo ngao imekuwa ikiwakilisha kwa vizazi vingi — uadilifu, uthabiti, ujasiri na heshima.

Soma Hadithi Kamili
Bango la kampeni Urithi wa Ladha
Maadili Yetu

Misingi Inayotuongoza

Uadilifu

Ukweli na uwazi katika kila hatua ya uzalishaji.

Uthabiti

Ubora usiotetereka, chupa hadi chupa.

Ujasiri

Moyo wa mashujaa katika kila tunachokifanya.

Heshima

Heshima kwa urithi wetu, wateja wetu na taifa letu.

Uongozi

Timu Inayoongoza Safari Hii

RA

Ramadhan Ally Mihayo

Mkurugenzi Mtendaji

SC

Sarah Cathbert Shoo

Mkurugenzi

PM

Pharestin Mphipa

Meneja wa Uendeshaji

AS

Anna Sizya

Meneja wa Masoko

Karibu kwenye safari ya Urithi wa Ladha.

Wasiliana Nasi